Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, March 2, 2015

NENO LA LEO; Faida Ya Kuwasha Taa Yako…

As we let our own light shine, we unconsciously give other people permission to do the same. -Marianne Williamson
Jinsi unavyoacha mwanga wako ung’ae ndivyo unawapa ruhusa watu wengine nao kung’arisha mwanga wao.
SOMA; Matatizo Yote Kwenye Maisha Yako Yanatokana Na Kitu Hiki.
Unapokazana na kupata mafanikio, ndivyo unavyowapa wengine moyo kwamba nao wanaweza kufikia mafanikio kama wakikazana.
Chochote unachofanya, jua unawahamasisha wengine nao kufanya kama unavyofanya wewe.
Mabadiliko yoyote unayotaka yatokee kwenye jamii yako anza wewe kuwa mabadiliko hayo na wengine watafuata.
Anza kutumia haya unayojifunza kila siku kwenye kazi zako, biashara zako na hata maisha yako kwa ujumla na utaona mabadiliko makubwa kwako na kwa wale wanaokuzunguka.
Nakutakia siku njema.
SOMA; Kauli KUMI Za Confucius Zitakazokuhamashisha Kuboresha Maisha Yako.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment