Unacho kila unachohitaji ili kufikia mafanikio. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua hatua, kufanya vitendo. Fanya vitendo vingi sana. Hivyo ndivyo watu wenye mafanikio wanavyofanya. Wanapanga ni wapi wanataka kufika na wanaanza kuchukua hatua mara moja. Mbele ya safari wanajiendeleza ili kuwa bora zaidi.
Ndoto yako ni nini? Je upo tayari kuiendea thahabu? Je upo tayari kuchukua hatua na kuyafanya maisha yako kuwa bora?
Kama ndio basi unasubiri nini?
Anza sasa kuchukua hatua, usisubiri uwe tayari...
JUST DO IT na mengine utaendelea kujifunza kadiri unavyokwenda.
“You miss 100% of all the shots you don’t take.” - Michael Jordan
0 comments:
Post a Comment