Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, April 4, 2015

NENO LA LEO; Kama Hujui Unakoenda Utaishia Hapa.

“If you don't know where you are going, you'll end up someplace else.” ― Yogi Berra

Kama hujui ni wapi unakoenda, utaishia sehemu yoyote ile.

Hasara kubwa kwenye maisha ni kuishi maisha ambayo hujui yanakupeleka wapi. Haya ni maisha ambayo hayana malengo na mipango. Ni maisha ya kufanya chochote kinachojitokeza mbele yako. Kama una maisha ya aina hii, huwezi kujua yatakapokufikisha. Na popote yatakapokufikisha hakutakuwa kwema kwako.

SOMA; Tabia Hizi Zitakusaidia Sana Kufikia Malengo Yako Kwa Haraka - 2

Kuwa na ndoto kubwa kwenye maisha yako. Kuwa na malengo kwenye maisha yako. Kila siku kuwa na mipango ambayo utaifuata. Na maisha yako yatakuwa bora sana.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Kauli KUMI Za Marcus Aurelius Zitakazokufanya Uyaone Maisha Kwa Utofauti.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment