Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, February 2, 2015

SIRI YA 4 YA MAFANIKIO; Itumie Sheria Ya Wastani Kukuletea Mafanikio.

Jinsi unavyoshindwa mara nyingi ndivyo unavyojitengenezea nafasi kubwa ya kufanikiwa.
Kwa kifupi unaweza kutumia kushindwa kwako, kufikia mafanikio.
Kila mara unaposhindwa unapata uzoefu, na unajifunza njia gani haileti matokeo mazuri. Pia unaepuka kurudia makosa ambayo yamekufanya ushindwe.

“I am not discouraged, because ever wrong attempt discarded is another step forward.” - Thomas Edison

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment