“Keep your dreams alive. Understand to achieve anything requires faith and belief in yourself, vision, hard work, determination, and dedication. Remember all things are possible for those who believe.” Gail Devers
Zifanye ndoto zako kuwa hai. Elewa kwamba kupata kitu chochote unahitaji kuwa na imani na kujiamini, kuwa na maono, kufanya kazi kwa juhudi, maamuzi na kujitoa. Kumbuka vitu vyote vinawezekana kwa yule anayeamini.
Hakuna kinachoshindikana ila pia hakuna kinachopatikana kirahisi.
Ni lazima ukitake kitu kwa uchu mkubwa na uwe tayari kulipa gharama ya kupata kitu hiko.
Nakutakia siku njema.
SOMA; Kauli Mbili Za Kuacha Kutumia Leo, Maana Zinaashiria Kushindwa.
0 comments:
Post a Comment