Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, February 8, 2015

SIRI YA 14 YA MAFANIKIO; Tengeneza Ujasiri Wa Kufanikiwa.

Ujasiri unamaanisha kuwa mkubwa kuliko matatizo yako.
Ujasiri sio kutokuwepo kwa woga. Ni kuweza kutenda licha ya kuwa na hofu.
Kufanikiwa kwenye maisha unahitaji ujasiri wa aina mbili;
1. Ujasiri wa kuanza kuchukua hatua na kutenda. Ujasiri huu unatokana na kujiamini wewe mwenyewe.
2. Ujasiri wa kuendelea kutenda. Ujasiri huu unatokana na hamu ya kutaka kufanikiwa.

“Expect trouble as a part of life and when it comes, hold your head high, look it squarely in the eye, and say, ‘I will be bigger than you.  You cannot defeat me.’”  - Ann Landers

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment