Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, October 22, 2014

Unataka Kufanya Biashara na Huna Mtaji? Unaweza Kuanzia Hapa

Moja ya vikwazo vinavyowazuia watu wengi kuanza biashara imekuwa ni mtaji.
Japo mtaji sio kikwazo chenyewe, kuna mambo mengi yanawazuia watu kuingia kwenye biashara ila wao wanasingizia mtaji tu.
Basi kama wewe unafikiri tayari una kila kinachohitajika ili iuweze kufanikiwa kwenye biashara kasoro mtaji tu, leo utajifunza baadhi ya biashara utakazoweza kuanza bila mtaji au kwa mtaji kidogo sana.
Bonyeza maandishi haya kujifunza kuhusu biashara hizo.
Jifunze kisha chukua hatua.
TUPO PAMOJA.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment