Bila Training Ya Mauzo, Timu Yako Itaongea Sana… Lakini Haitauza…!
-
*Rafiki Yangu, Wanafanya mazungumzo mengi kila siku. Wanajitahidi kuelezea
bidhaa.Wanajibu maswali ya wateja. Lakini mwisho wa siku…hakuna mauzo ya
kutosha...




0 comments:
Post a Comment